Skeleton Watch Studio Shot

Skeleton Automatic Watch — Silver Stainless Steel Bracelet

70,000.00 TZS
Sale price  70,000.00 TZS Regular price 
Skip to product information
Skeleton Watch Studio Shot

Skeleton Automatic Watch — Silver Stainless Steel Bracelet

70,000.00 TZS
Sale price  70,000.00 TZS Regular price 

Unaona Moyo Wake Ukipiga.

Saa hii ya skeleton automatic inakuvutia kwa muundo wake wa wazi kabisa — dial imefunguliwa ili uone gear wheels, balance wheel, na bridges zote za movement zinazofanya kazi kwa usahihi wa ajabu. Hakuna betri, hakuna charging — nguvu ya mkono wako tu inaiamsha. Bracelet ya stainless steel inayong'aa inakupa look ya kifahari inayofaa kila tukio.

Sifa Kuu:

  • Automatic Movement — inajichaji yenyewe kupitia harakati za mkono
  • Full Skeleton Dial — unaona movement yote wazi
  • Gear Wheels & Balance Wheel — usanifu wa kipekee wa horological
  • Stainless Steel Case & Bracelet — imara, inang'aa, yenye hadhi
  • Mineral Crystal Glass — inastahimili mikwaruzo
  • Water Resistant — inastahimili maji ya kawaida
  • ✅ Inafaa: Kazi, Matukio, Zawadi ya Kipekee

Saa inayoonyesha nguvu ya uhandisi — kwa mtu anayethamini ubora wa kweli!

You may also like